news
News

KICE Foundation 2020


Tarehe 3/01/ 2020, Baada ya kuhudhuria ibada ya mazishi ya Mzee Mwalimu Mwaura Nduba Mbomboini-Nachu, tulijumuika pale Kikuyu Township Primary na wanafunzi waliobahatika kupata udhamini wa KICE Foundation wakiwemo wanafunzi 25 wanajiunga na shule za sekondari kidato cha kwanza mwaka huu.
Twawakaribisha wote kwa familia ya KICE Foundation na watapata udhamini wa karo yao ya miaka minne kama wengine walio chini ya udhamini wa KICE Foundation.
Baadaye tuliweza kukagua miradi ya Maendeleo ya NGCDF kwenye shule ya Kikuyu Township ambapo bweni jipya na madarasa yanaendelea kujengwa.
Tuambiane Ukweli Maendeleo Yaendelee.

 

 

Downloadable Files

No files available yet

0 Comment s So Far

There are no comments yet.

Authentication required

You must log in to post a comment.

Log in